Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

... intelligence ya Chadema achana nayo; nimekwambia he was being monitored 24x7 akagundua hawezi kuishi bila ufisadi akarudi "nyumbani".
Alirudi nyumbani baada ya kukosa urais!

Chadema ilitumika kama daraja tu la kuendea ikulu akakosa!

Chadema haina intelligence yeyote! Kiufupi ni chama cha kihuni ambacho kila mtu ni kambale
 
Muulize zitto, kafulila, au aman kaburu kilichowakuta huko ndio utajua hujui
 
Alikwambia hivyo mkiwa wapi? yalikuwa mawazo yake binafsi yenye kumtia kitanzi mwenyewe mbele ya safari, kuokolewa hapo haliwezi kuwa kosa.
Kuanzia Mbowe, Lissu,Msigwa hadi Lema mwenyewe thamani yao ilishuka walipo mpokea lowassa.
 
Unaweza anzisha chama cha siasa peke yako? nipe muongozo
Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe

Makani karithi chama kwa Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI), Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).

MKUU KAMA UNGESIMAMA KWA HAKI UNGEANZA KUHOJI HAPA.
Acha viti MAALUM kina Mukya, Kiwelu, MADEMU na madada wenu
 
Hoja ya CHADEMA kuwa Mbowe hanunuliki wala kunywea mbele ya suluba za dola huikubali?

Unaamini wapo wanachama wengine wanaoweza kuhimili vitisho vya dola hasa chini ya Rais modeli ya JPM hapo hapo wakikishikamanisha chama pamoja bila kuchoka?
Mbowe yuko kibiashara zake zaidi. Ukombozi utajikomboa wewe mwenyewe. Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kutoka kwa Edward Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa. Hiyo ndiyo sababu ya Lipumba kumuasi Maalim Seif na Dr Slaa kukimbilia Canada..

Wajinga mnashikishwa mabango ya #FreedomForMbowe kwa kisingizio anapigania Katiba mpya wakati familia yake inakula maisha Dubai. Nani kawaroga nyie??

Muache atumikie laana ya Dr Slaa
 
A

Aligombea urais na kumtupa nje ya chama kamanda Slaa!
Tukubaliane kwanza kwamba hapa umefanya assuptions sio fact. Usichanganye mafaili, katiba ya ccm ndio inaeleza uhusiano wa rais na mwenyekiti wa chama, sasa usidhani vyama vyote vipo hivo mkuu! Halafu unajua kuna kitu nakichukiaga sana binafsi kwa watu kupoteza kumbukumbu ya vitu au mambo ya juzi tu, hivi ni kweli kwamba Lowassa alimtupa nje Dr. Slaa? Historia ambayo haina hata miaka 10 vijana wamesahau, khaa! Shule za siku izi bhana...! Ndio maana yule dada wa chupa ya mirinda alidanganywa kwamba ajirekodi video na amtumie mtu yupo Dubai ana visima vya mafuta, imagine mtu wa level ya chuo kikuu hajui kwamba Dubai hakuna visima vya mafuta, just imagine. Hi ndio tunayo sema, "elimu ya sasa hivi imeshuka"
 
Kama unabisha waulize ACT wazalendo sasa boss wao ni nani?

Rais ni kitu kingine bwashee!
 
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.

Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.

Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.

Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?

Mwamba tuvushe salama!
Vitu petty sana siyo vya kuanzisha uzi

Dogo simple mind discuss people
 
Mbowe yuko kibiashara zake zaidi. Ukombozi utajikomboa wewe mwenyewe. Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kutoka kwa Edward Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa. Hiyo ndiyo sababu ya Lipumba kumuasi Maalim Seif na Dr Slaa kukimbilia Canada..

Wajinga mnashikishwa mabango ya #FreedomForMbowe kwa kisingizio anapigania Katiba mpya wakati familia yake inakula maisha Dubai. Nani kawaroga nyie??

Muache atumikie laana ya Dr Slaa
Mkuu punguza jazba. Si wote tunaoandikia humu tunafanana. Mimi nauliza maswali genuine kabisa. Naomba usinifananishe na mtu yeyote mwingine. Kama hukubaliani na hoja nilizotoa na zimekukera ama sema tu kwamba "si kweli" kisha toa data/hoja au ignore the whole stuff.

Maswali yangu yamelenga kwenye hoja ambazo zimekuwa zikitolewa mara kadhaa kuhalalisha uwepo wa Mbowe kwenye uenyekiti wa CHADEMA muda mrefu. Sote tunajua CHADEMA ndicho chama kinachowapa fursa Watanzania wengi wenye nia ya ya dhati ya kuikosoa serikali kwenye "madhambi" yake na kupendekeza namna mbadala ya kuhakikisha utawala bora nchini. Watanzania wa kawaida, wasomi, wafanya biashara, watumishi wa umma, viongozi wa serikali na hata wa CCM, huitegemea CHADEMA katika kuwasilisha hoja makini dhidi ya serikali na chama tawala. Hata bungeni, uwepo wake unachangamsha mijadala ipasavyo. It's a credible opposition platform or force for change. Hivi sasa gap inaonekana wazi. Akina Halima pamoja na kujitahidi kuongea point bahati mbaya hawaheshimiwi na pande zote.

Lakini CHADEMA inakabiliwa na changamoto kubwa nyingi. Imebanwa sana na serikali na kuwekwa katika mazingira hatarishi hata ya assassination ya viongozi wake. Kwa upande wake nayo wanachama na viongozi wake hawana uelewa mmoja wa mambo ya msingi na si wote wanaaminika nyakati zote. Mapambano dhidi ya usaliti ni suala genuine na la kudumu. Ama sivyo CHADEMA ingekuwa imekufa zamani sana kama baadhi ya vyama vilivyobakia vivuli tu leo hii. Sisi kama Watanzania tunapenda kuona upinzani imara unajengeka nchini.

Huwa napenda sana mawazo yako katika hoja mbalimbali lakini sio kama haya uliyotoa hapa. Ingetosha kusema Mbowe hana sifa na hafai kuwa kiongozi wa CHADEMA, ukaweka data kisha ukapendekeza mtazamo mbadala. Unaweza hata kui-dismiss CHADEMA yote kuwa si credible opposition kama mimi ninavyoiona. Inatosha. Mambo ya "sisi" kurogwa na kuwa wajinga hayahitajiki hapa.
 
Unajuwa machache sana kuhusu Mbowe, demokrasia na udikteta
 
CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai.

Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri na Godbless Lema hatimaye Msigwa aliufyata akafuta.

Lakini ngome ya Mkwawa iliibuka na kumtaka mchungaji Msigwa arejeshe bandiko lake mtandaoni kwani ule ni ushauri wake binafsi.

Unaweza kujiuliza kama Chadema haina " Wenyewe" huyu Godbless Lema anapata wapi jeuri ya kumuamrisha mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa?

Mwamba tuvushe salama!
Yetu yako wazi mjomba. Uyasemayo mbona hayatuhusu:
IMG_20220110_071335_038.jpg
 
Back
Top Bottom