Mkulo anadanganya watanzania eti bajeti ni kuwainua walalahoi na kuwa imejali watanzania walalahoi, kuna watu wamekubali maneno yake wanasahau kuwa alishasema kila mtanzania atakula kwa jasho lake, na mkulo huyo huyo tunajua hana lolote kama alishindwa kuongoza NPF wakati ule kwa ufisadi mpaka akaachishwa kwa manufaa ya umma eti leo hii kwa sababu upara wake umeng'aa zaidi kwa kula hovyo hovyo pesa zetu za kodi atafanya kitu cha maana ili umma wa watanzania uendelee!!
kweli watanzania wanapenda kuuambiwa maneno matamu na akili zao kurudi '0'