Lakini wasipelekewe nguo ambazo zimeshavaliwaSio kuwaombea tu,hata kwenda kuwaona na kuwapa misaada mbalimbali kama pesa,madawa,vyakula,nguo,n.k
Lakini wasipelekewe nguo ambazo zimeshavaliwa
Amenimungu awabariki wote Amen
Lakini wasipelekewe nguo ambazo zimeshavaliwa
Charity vyovyote vile lakini mimi si-sapoti kutoa kwa yatima nguo ambazo tumeshazivaa, kama kweli unataka kuwazawadia wazawadie kile ambacho siyo umeshakichokakwa nini?Dah,siamini great thinker unasema hili.Kuna nguo nyingine watu washazivaa ba ni wabongo lakini ni bado mpya kabisaaaaa.Tena watu wana masanduku hata kumi hadi washazisahau hizo nguo au zinawabana.Sasa kama mtu huna nguo na umepewa suti kali ukatae? Utakuwa huna shukurani/.Tatizo ni pale penye kutoa nguo zilizochoka au zisizochanika
Hata kama umeshakichoka,lakini kama bado kinalipa je? mbona nguo za mitumba zimechokwa na wazungu na tunazivaa na sisi si watoto yatima?Charity vyovyote vile lakini mimi si-sapoti kutoa kwa yatima nguo ambazo tumeshazivaa, kama kweli unataka kuwazawadia wazawadie kile ambacho siyo umeshakichoka
Wala hatubishani Charity, lakini tuishie hapa na kila mmoja abaki na msimamo wake lakini point ya msingi ibaki pale pale kuwasaidia watoto yatimaHata kama umeshakichoka,lakini kama bado kinalipa je? mbona nguo za mitumba zimechokwa na wazungu na tunazivaa na sisi si watoto yatima?
Dah hapa tutabishana mpka kesho,kwa hili bado sana kukubaliana na wewe.eniwei ngoja tuishie hapa................
Wala hatubishani Charity, lakini tuishie hapa na kila mmoja abaki na msimamo wake lakini point ya msingi ibaki pale pale kuwasaidia watoto yatima
Asante sana Charity kwa neno maalum. Na mimi naomba nikupe neno kutoka katika Wathesalonike 4:9Ni kweli Dk ICU.Nakutakia majonzi mema hapo kesho na sherehe njema ya ufufuo hapo mapema siku ya kwanza ya juma.Uwe na furaha na amani pamoja na familia yako yote.
Cha msingi zaidi naomba Yesu afe na wewe na atakapofufuka ufufuke nae.
Neno maalumu la sikukuu hii kwako ni katika;
Yak 1:27.
Amen.Nashukuru kwa neno la Bwana.Asante sana Charity kwa neno maalum. Na mimi naomba nikupe neno kutoka katika Wathesalonike 4:9