Tatizo la ATM za CRDB

Tatizo la ATM za CRDB

JfBro

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
587
Reaction score
163
Naombeni msaada wakuu.

Nilijaribu kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB pesa haikitoka ila kadi ilitoka, nikasubiri kama dakika 20 machine ya ATM ikaanza ku display message inayosema ATM closed. Nikaenda ATM ingine ya jirani nikajaribu kutoa kiasi kilekile cha fedha ikakubali pesa ikatoka na card vizur tatizo ni kwamba nikiangalia balance yangu nakuta wame add hadi zile pesa ambazo nilijaribu kutoa mara ya kwanza zikagoma kabisa, lakini inaonyesha kuwa zimetoka.

Naombeni msaada nifanyaje kama kuna mtu ana uelewa na mambo ya bank au ameshapata tatizo kama hili.

Asanteni.
 
Baada ya masaa 24 ule muamala ambao haukukamilika utakuwa reversed na hela iliyokatwa itarudushwa ktk acc yako wala usihofu
 
one of the best bank in Tanzania ni CRDB believe me kama bado utakuwa na tatizo wacheki kupitia page yao ya Facebook hope I'll enjoy.
 
Washasema wadau apo juu,mzigo utarudi automatically!! Ila usisite kuchek balance yako kama haijakaa sawa fika tawi lolote watawasiliana na tawi husika ili warudishe oesa kama sisitimu ilifeli kurudisha....
Inanitokea sana ila sijawahi kupoteza hela wako smart kwa hilo!!
 
Back
Top Bottom