Lambo Ugweno
Member
- Mar 27, 2013
- 27
- 1
Wadau wa JF ninakuja kwenu nikiwa nimepiga magoti, swala kubwa ninalotamani kulijua hapa katika uzi huu ni JE? Ninani anaweza kulirudia tusi la Serukamba kwani hakuna mtu wala chombo cha habari kilichoweza kulisema hilo tusi ambalo nasikia Spika na Naibu wake hawakuliona kama ni tusikubwa au hata kama ni tusi au neno chafu kuzungumzwa Bungeni. Hivyo Peter hakuonnywa wala kunong'onezwa pembeni kwamba amenyea Bunge.
Kwa sisi ambao kazi zetu haziruhusu sana kuweza kusikiliza Bunge tumepitwa na hilo na ninaona kama humu ni sehemu muafaka kutupia uzi na watu wakasaidia kutujuzu sawaswana kilichojiri bungeni.
Nawasilisha.....