Tusi la Serukamba (MB)

Tusi la Serukamba (MB)

hii serikali ni balaaa kubwa. ina maana tusi la wabunge wa ccm halikusikika? akinya kuku kanya akinya bata kaharisha!!
 
Mimi nafikiri SISIEM haina shida ila hao wanachama wabovu na wasio na uwezo wa kuongoza ndio wanaoleta shida,.....Kinachotakiwa wale wanaojiamini ni wasafi na wanawajua watu wenye uwezo wawashinikize wakiokoe chama!Hizi sisasa za kushibisha matumbo zitatumaliza
 
Wangekua hao chadema wangeambiwa wanafungiwa chama mpaka mwaka 2016...K*****e [ehee na Mimi nimemuiga MR.Seru] ku****na .!!!!!
 
Back
Top Bottom