Mkuu unaonaje huo muda unaotumia kuangalia playboy TV kwann uciutumie angalau kufungua kurasa za vitabu ama kutafuta info mbalimbali za huu ulimwengu unavyoenda ukaongeza maarifa?
Samahani wandugu naomba msaada namna ya kupakuwa nyimbo kutoka u-tube maana mie huwa naishia kutizama tu sijui jinsi ya kupakuwa kutoka huko na nikiangalia sioni sehemu ya kupakua kutoka huko