Mkuu natumia sim ya tablet yenye mfumo wa Android na nisipoweka antivirus hufikia muda ikajizima kabisa.,pia zipo tablets zenye mfumo wa Android pia husumbuliwa na virus,simu yoyote inayoweza kudownload kitu lazima inashambuliwa na virus.,hata kupeana vitu kwa bluetooth pia unaweza kupata virus.,sasa cjui unaposema hivyo unamaanisha nn.,tupe darasa huru.,Nilichohitaji kufaham ni Antivirus gani nzr.,inayoweza kuzuia shambulio na kusafisha simu.maana cko nying mno.