Ina CNNUnapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link
Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay. UPDATE Tumewaleta version bora zaidi ambayo kwa sasa inapatikana Play Store Pure Entertainment - Apps...www.jamiiforums.com
Ukishindwa active link hiyo hapo
Free IPTV
with FREE IPTV app you have the access to more than 100 Sports, Movies, Series and News TV channels.www.mediafire.com
Ina CNN
CNN IPO MKUUIna CNN
Nilifikiri ni kwangu tu!
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link
Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari
baada ya kupokea PM nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali kuwa badala ya kuweka hapa link ambazo wengi hawawezi kuziplay, wameshauri niweke kwenye app moja ambayo itakuwa rahisi kwa wote kuplay. UPDATE Tumewaleta version bora zaidi ambayo kwa sasa inapatikana Play Store Pure Entertainment - Apps...www.jamiiforums.com
Ukishindwa active link hiyo hapo
Free IPTV
with FREE IPTV app you have the access to more than 100 Sports, Movies, Series and News TV channels.www.mediafire.com
umeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
nasubscrub ntarudi
Link niliyo weka mimi ipo ACTIVE mkuuNilifikiri ni kwangu tu!
Nenda YouTube tafuta how to bypass tecno L9. Tafuta YouTuber mzuri Angalia jinsi inavyokuwa.Msaada jaman sim yangu tec l9 imekuwa km imeflash yn mpya pale kwenye screen kuna neno gestarted ukiifata mble inatoa option ya kuweka email au phone namba lkn aliyekuwa anatumia amesahau,ss ukiingiza mpya google wanagoma na wala hamna opt ya kucreate new amail pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani simu ya my sister kachemsha hadi kaiweka kabatini ndio napambana nayoNenda YouTube tafuta how to bypass tecno L9. Tafuta YouTuber mzuri Angalia jinsi inavyokuwa.
NB: KAMA SIMU NI YAKO KWELI.
1. tburudani - unaangalia movie kibao kupitia TTCLWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Unazungumzia uzuri upi... Taja features utakazo
hii dent bado ipo,nahitaji kuitumiaNi kweliiiiii
Kama una line ya tigo au voda kuna pesa ya bure. Ila ni ya vocha tu.
Jisajili [emoji1312][emoji1312][emoji1312]
Tumia SwiftKey, hii nzuri sana. Nakushauri uitafute na usome function zakeUnazungumzia uzuri upi... Taja features utakazo
Hauhitaji app, ingia kwa hii link fuata maelekezo machache then you'll find what you need How To Display Hidden Files on AndroidMimi natafuta app inayoweza nkufichua kitu kilichofichwa.
Kwa mfano mtu ka screenshot alafu akaficha baadhi ya maneno.wasa mimi nataka app inayoweza kufichua..
Najua jf hamshindwa
How To View Hidden Files On Android?Mimi natafuta app inayoweza nkufichua kitu kilichofichwa.
Kwa mfano mtu ka screenshot alafu akaficha baadhi ya maneno.wasa mimi nataka app inayoweza kufichua..
Najua jf hamshindwa