NDIOC mpk ulipie ndo unapata huduma zake?
pitia hizi nyuzi lilishajadiliwa hiloKila siku tunajifunza mkuu.
Unaposema darkweb unamaanisha nini mkuu. Mfano wa darkweb.
Shukran.
download hii hapaMkuu hebu fafanua kidogo nimedownload tor browser lakini naona kama ina mmbo yako tofauti msaada wako plz
Nipe link mkuu nw ndio nishadownloaddownload hii hapa
Orfox: Tor Browser for Android – Програми Android у Google Play
na hii hapa
Orbot: Proxy with Tor – Програми Android у Google Play
kisha open hiyo orbot 😛roxy with tor kisha connect ikishaconnect bofya browse kisha itakupeleka kwenye tor browser sasa huko ndo utaweka hizo onion link
mbona sijakuelewa hiyo si operamini na hiyo fb account yako umedukuliwa au?
Ni opera hii imejitokeza baada ya kujaribu kuingia akaunti yangu ya fb kupitia hio tor sasa ndio nikawa najiuliza kwa nini iwe hivyo.mbona sijakuelewa hiyo si operamini na hiyo fb account yako umedukuliwa au?
ingia kwenye hiyo thread post ya pili zipoNipe link mkuu nw ndio nishadownload
Ni zaidi ya uzuriVidmate ipo playstore! Ni nzuri ya kudownload chochote YouTube....
IPO goodMkuu hii inapakua youtube video kama youtube yako vile .version zote ukitaka hd au best quality yoyote
Hatareee mkuuNi zaidi ya uzuri
Mboni inakataa?Pitia link tajwa hapo juu kisha lete mrejesho kaka
Ulifanikiwa?nijuze namiMimi natafuta App ya kumlinda mke wangu waungwana tusaidiane
Vip siwezi kupata link ya website ya kudownload philipino series zilizotafsiriwa English moja kwa moja kama zile wanazoonyesha star tvKama unatumia pc..
Ingia kwenye hii site
http://
www.dramago.com/
Then tumia idm kudownload.. Huwa naitumia sanaa hii...
Site ingine hii hapa...
DramaFire.com | Korean Drama and Asian Shows with English Subtitles
Wapenzi wa mpira hapa ni uwanja toshaInafanya nini hiyo "mobodro"
Ipo play store?Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
hiyo channel inaitwaje....
Vip aki formart simu kabla ya kuitumia utaweza pata information yoyote2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake