Tushike Maarifa yatakayotubadilisha...

Technian Tanga

JF-Expert Member
May 27, 2015
411
200
Science ni knowledge ilio clear kabisa na inaeleza vitu vingi kwa upana na inaruhusu maswali na Chunguzi zaidi. Nafikiri hii pekee ndo Elimu ya kukumbatia Mana itabadili maisha yetu na vizazi vijavyo.

Naelewa kuna Wafuasi wa kubwa wa imani za Dini lakini sifikirii kama Dini ina nafasi ya kwa ulimwengu wa kisasa. Dini ni mafundisho yanayomuongoza mtu mafundisho hayo yanatofautiana kutokana na jamii na jamii.

Ni ajabu mtu anae ishi ukanda wa joto kufata mafundisho ya mavazi anayo vaa mtu anae ishi ukanda wa baridi au mtu anae ishi sehemu zenye mbao kuzikwa bila jeneza kisa tu kuna jamii haikuziki bila jeneza lakini tukumbuke hio jamii haikuwa na mbao za kutosha na maeneo yake mengi ni jangwa

Tatizo la jamii za kiafrika tumejaa uoga tunashindwa kukuubali ukweli ambao uko straight kabisa kuwa Dini ni lifestyle tu la watu fulani na wala hutadhurika kwa kuacha kufata imani hizo za watu, tuwaoga wa kudhubutu kabisa tunashindwa kuwa based katika nyanja usefull kabisa kama science matokeo yake tunakomalia dini ambao faida yake ni kama Tone la maji katika bahari tuukubali ukweli kuwa dini ni ulaghai tusiwe vinganganizi tu face mambo ambayo ni proved na experimental Hio itatufanya tupige hatua na sio myth stories kama Pepo au Moto
 
Back
Top Bottom