Tusherekee views million 100 za Zuchu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,522
7,370
Zuchu amefikisha views million 100 kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi 9 tu tangu aingie rasmi kwenye muziki.

Mpaka sasa hakuna msanii wa kike Africa Mashariki na Kati aliyeweza kufikia hizi number.

Hii ni hatua kubwa kwenye muziki wetu kwa ujumla kuona msanii mpya kabisa tena wa kike anaweza kuja na akafanya mambo makubwa kiasi hiki.

Ukifanya projection kibiashara unaweza ona wapi anaelekea huyu queen mpya wa bongofleva.

Sisi tunampongeza na tunamtakia kila la heri hazidi kutusua.

Hata waliomwita "muimba taarab" leo wanacheza nyimbo zake.

IMG_20210203_100431.jpg
 
Back
Top Bottom