Tushavunja kibubu cha mwaka 2016!!

Tushavunja kibubu cha mwaka 2016!!

Mie ntakuwa wa kwanza kutunza pesa zangu bila kuweka benki. Huu msimu eti crdb bank wameweka kiwango cha mwisho cha kutoa pesa ATM ili tukatwe Mara nyingi gharama za utoaji
Kwani kiwango cha mwisho kishapanda?
Maana hata ckumbuki mara ya mwisho kwenda bank ilikuwa ln..
 
Kwani kiwango cha mwisho kishapanda?
Maana hata ckumbuki mara ya mwisho kwenda bank ilikuwa ln..
Kiwango cha juu ni 400000 kutoa ila wamepunguxa imekuwa 200000. So ukitoa 400000 ulikuwa unakatwa kama 1000 sasa utakatwa 2000 maana inakulazimu utoe mara 2
 
Kiwango cha juu ni 400000 kutoa ila wamepunguxa imekuwa 200000. So ukitoa 400000 ulikuwa unakatwa kama 1000 sasa utakatwa 2000 maana inakulazimu utoe mara 2
Oky.. Nashukur kwa kunifahamisha
 
Usiende kula bata mkuu
Tumia mda huo kumshukuru mungu
Na uwakumbuke watoto Yatima kwenye iyo ela ya bata..
ni kitu kizur,nashkur Mungu nimeenda leo kanisan kumshkuru kunionesha mwaka mwngne ni nafasi kuiona siku mpya,ilo la kwenda ktmbelea watu w makund ni jambo jema mkuu..embu tujichange mi nawew,twend pamoja kwa ndugu zetu hao.
 
Natamani sana kufanya ivyo mkuu

Ila tatizo ivyo visenti nishavitumia nduguu
 
Hata nikiwa konda ilimradi mkono uende kinywan as long as siibi
Dah.... Sijasema kuwa konda ni jambo baya....niliwahi kufanya hiyo kazi.. Nilikuwa nabashiri tu Kutokana na kuwa na mia mia nyingi.. Japo kuna kazi nyingi zinazoweza kukufanya uwe na hizo coins[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom