Tushavunja kibubu cha mwaka 2016!!

mm sijaelewa maana naangalia compute yangu hapa chini inasoma 12.40 saa hiyo tarehe 1.1.2017 ina maana nimefika 2017? kwa heri mwaka wa majanga 2016.
 
Serikali ipige marufuku wananchi kuficha pesa kwenye vibubu kwani vinapelekea uhaba wa coins katika mzunguko wa pesa.
Ona chenji zote alikuwa ameatamia yeye tu!
Mie ntakuwa wa kwanza kutunza pesa zangu bila kuweka benki. Huu msimu eti crdb bank wameweka kiwango cha mwisho cha kutoa pesa ATM ili tukatwe Mara nyingi gharama za utoaji
 
Back
Top Bottom