Tushauriane style nzuri ya kusuka kipindi hiki cha sikukuu

style kwenye nini? kwenye mavazi vaa simple kula maji.... kwenye ngono missionary na kukaa juu ndiyo inafaa na pia zingatia kama huna mke au mpenzi mmoja tumia condom, msimu huu si mzuri,...

chakula nyama choma za aina zote

dancing mgongo mgongo ndiyo nzuri msimu kutia mzuka
Nilikumiss wewe kamand wangu lol
 
chukua peruvian au brazilian ndefu pamoja na closure tengeneza kofia so joto halitokusumbua maana si muda wote kichwa kitakua kina nywele, kwanza inasave hata ukipata kimtoko na kichwani hakueleweki.
Mamy... unafaham sehem wanayoweza kutengeneza kikofia vzur. Naomba unijuze..
 
Mamy... unafaham sehem wanayoweza kutengeneza kikofia vzur. Naomba unijuze..
Pole , ndiyo naona leo comment yako....huwa kuna duka kariakoo la nywele ndo huwa natengenezea hapo na wanatengeneza vizuri mnoo
 
Back
Top Bottom