Tushauriane style nzuri ya kusuka kipindi hiki cha sikukuu

suka afro king
loh yale manywele mengi vile si nitakufa mimi? hivi watu wanalalaje?
upload_2016-12-20_15-54-21.jpeg
 
Hivi style murua inayoendana na bia za sikukuu ni ipi mkuu?
style kwenye nini? kwenye mavazi vaa simple kula maji.... kwenye ngono missionary na kukaa juu ndiyo inafaa na pia zingatia kama huna mke au mpenzi mmoja tumia condom, msimu huu si mzuri,...

chakula nyama choma za aina zote

dancing mgongo mgongo ndiyo nzuri msimu kutia mzuka
 
hana mke huyu jamaa?
 
hii ni miaka ya kunyoa mapara kusuka tena dada unawatoto kweli wakwenda shule hadi unawaza kusuka
 
Back
Top Bottom