Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?
Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?