Asante kaka.Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?
Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?
Anajivunga huyuu! Chukua kisuu hicho! Kama vip nipe # yake mi nimalize kila kitu. Ukitaka ujue akikupigie uikate na usipokee then zimaa kabisaa. Utaona kesho yake atakavyo lalama.
akinipigia akikuta cmu yangu iko busy ataanza kuniuliza nilikua naongea na nani.
Yaleyale kila siku tunaongea humu 'unakumbushia ombi' kwani hiyo ni kazi umeomba? Sasa mnaongea nini masaa matatu?
Bottomline, hujui tu jinsi ya kubadili mazungumzo taratibu hadi kuelekea unapopataka, unakumbusha ombi kama manispaa wanapokumbusha malipo ya leseni?
ntablock wangapi sasa?
kama hutaki kuongea naye mblock tu[/QU
Hakuna kumblock kumbushia ombi hata kwa kulia au huna chozi fake mzee!?
nikijaribu kumkumbushia ananiambia hilo swala halitokaa litokee milele.
kama hutaki kuongea naye mblock tu[/QU
Hakuna kumblock kumbushia ombi hata kwa kulia au huna chozi fake mzee!?
mtu mwenyewe anapenda, kubembeleza kote huko anaomba kazi au, kama mimi namchana tu
nikijaribu kumkumbushia ananiambia hilo swala halitokaa litokee milele.
mtu mwenyewe anapenda, kubembeleza kote huko anaomba kazi au, kama mimi namchana tu
Hahahahaha inaonekana kijana wetu ni 'gentleman' hataki kuonekana 'wa wapi'!