Kwa sababu najua hata ukipiga hawa-act hata siku moja. Muda wote wako bize zaidi na kazi zinazoweza kuwaingizia rushwa. Hivyo ukipiga utaishia kujiona umefanya umbeya tu, maana hakutakuwa na msaada wowote.

mmmh....sijui kwa kweli....kitu nimefanya mimi.....nimechukua namba....najua haitapita muda lazima nitakutana na dereva mapepe....nitapiga hizo namba....kama ni uzushi nitaleta habari hapahapa....nikiwa na ushahidi kamili....kwa sasa siwezi kutoa maoni nisiyokuwa na uhakika nayo....