Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
angalia kama umeidownload hadi mwisho hio apk na umedownload vizuri haija corrupt,Mkuu nimepakua mod data ya brother in amry latest na apk cha ajabu apk haitaki kuwa installed inaniambia cant installed hii inakuaje mkuu
angalia kama umeidownload hadi mwisho hio apk na umedownload vizuri haija corrupt,
Sniper 3D ni gem moja kali sana.. kwa unaye cheza umefika region yangap!? mim nipo region6
Mkuu hakuna namna ya ku cheat hii game coins na vitu vingine kwa kutumia njia ya profile.dat kama game ya dreamleague na nyingine kama inawezekana unaweza nisaidia link nifanye hiyo kitu maana nimehangaika na hizo mod zote hazitaki kwa simu yangu
games za online kucheat kwake ni ngumu sana tofauti na za offline.Mkuu hakuna namna ya ku cheat hii game coins na vitu vingine kwa kutumia njia ya profile.dat kama game ya dreamleague na nyingine kama inawezekana unaweza nisaidia link nifanye hiyo kitu maana nimehangaika na hizo mod zote hazitaki kwa simu yangu
Anhaa ila mi mbona nilikuwa nacheza hii game ya three brother offlinegames za online kucheat kwake ni ngumu sana tofauti na za offline.
kama unacheza offline tumia software kama gameguardian na kama ni la offline kuna haja gani kuwa na latest version?Anhaa ila mi mbona nilikuwa nacheza hii game ya three brother offline
Sijaelewa iko hili game nacheza ila ishu katika coins na zile silaha za kivita na gold ni ndogo hivo game linakuwa gumu maana kuna mission sipiti na natumia android six ambayo ku root simu si kazi ndogo na kila niki download mod apk kuwa installed zinagoma kila version na kila websites za kuaminika zinagoma sasa je hiyo gameguardian haitaki root access lengo ni pate zile gold,na silaha na coinskama unacheza offline tumia software kama gameguardian na kama ni la offline kuna haja gani kuwa na latest version?
kama haikulazimishi na version mpya huwezi hack unatumia tu ya zamani. na game guardian mpaka uwe na root.Sijaelewa iko hili game nacheza ila ishu katika coins na zile silaha za kivita na gold ni ndogo hivo game linakuwa gumu maana kuna mission sipiti na natumia android six ambayo ku root simu si kazi ndogo na kila niki download mod apk kuwa installed zinagoma kila version na kila websites za kuaminika zinagoma sasa je hiyo gameguardian haitaki root access lengo ni pate zile gold,na silaha na coins
kama haikulazimishi na version mpya huwezi hack unatumia tu ya zamani. na game guardian mpaka uwe na root.
nimeona sehemu wanasema ukicheat version ya zamani halafu ukai update juu kwa juu bado cheat inabakia.