King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Mkuu tukutane QuizUp, same handle!Haha hilo game linataka utulivu wa hali ya juu... Huwa nacheza need for Speed huku nakula lunch lakini QuizUp natulia tulii.... Halafu napenda... U can challenge ur friend au unaweza cheza na mtu yeyote in da world mwenye hiyo game.. Then mnaweza mkawa mna chat huku mnacheza na kushare knowledge.... Mkuu nakupm
duh aiseh mkuu zote hizo unazo kwenye device yakoHD ANDROID GAMES
-eisenhorn:xenos
-afterpulse
-jade empire
-assasins creed identity
-mobile combat
-batman:the dark knight rises
-call of last agent
-mafia 3
-cover fire
-god fire:rise of promethius
-wild blood
-asphalt 8 air born
-gangstar vegas
-the elder scrolls:legends
-unearthed:trail of ibn battuta
-secret agent maria
-Injustice:gods among us
-mortal kombat x
-pes 2017
-fifa 2016
-tai chi panda
-stormborne:infinity arena
-trigger fist
-legends
-survival island:the forest 3d
-gta series
.sun andreas
.vice city
.liberty city
.gta 3
.gta 5
-the amaizing spider man 2
-gods of rome
-wwe legends
-six guns
-brothers: a tale of two sons
-slender man hide and seek
-resident evil 5
-bio harzad
-gangstar:rio city of saints
-9mm
-shadow gun
-ultimate spiderman 1,2
-deus ex:the fall
-dead triger
-bully anivesary
KAMA UNAJUA YOU HAVE A POWERFULLY ANDROID DEVICE KAZI KWAKO downloadia hapa (playmob.org)
Champion Manager2016 hili ni baba laoPakueni hii game top eleven ..be a football manager . Unaweza ukacheza online , yani lazima uwe addicted .
Unatumia simu gn kwa sasa na ram yke plzHabari wakuu
Naomba msaada wa kujuzwa game nzuri(hasa za kivita na kispy) kwenye simu) ambazo zinaonesha full body ya mtu unaemutumia kwenye game na siyo bunduki tu.
Kwa sasa nacheza Front line Commando 2
Ina Ram 3 na memory (internal + external) ni 64 GBUnatumia simu gn kwa sasa na ram yke plz
Hilo nilicheza tayari mkuuFront line commando 1
Iyo balaa, game zote itacheza. ni aina ganIna Ram 3 na memory (internal + external) ni 64 GB
Nisaidie hizo game mkuuIyo balaa, game zote itacheza. ni aina gan
Dream leagueDuhh ingekuwa umesema la mpira kuna linaloitwa The Dream ni zuri kweli kweny simu za Android