Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,532
Mkuu wenzetu thamani ya kikosi chao 68B si cha kwetu hata 2B hakifiki; Sisi ni underdog kwenye haya mashindano kuanzia uzoefu,na vingine though kwenye mpira lolote laweza tokea. Tupo na simba yetu nyuma lakini tunahitaji reformz kwenye kikosi mpaka bench, haiwezekani tuna wachezaji 10profissionz lkn wa nashindwa deliver chochote kwenye haya mashindano. All in all tupo pamoja This is .............Ahhhhh mkuu mbona unaniangusha, adui wa kwanza wa kufeli ni kutokujikubali mimi achana na mawazo mgano na maono yenye hasi katika maisha yako, sisi ndiyo simba banah tunampiga mtu we subiri