Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,037
Likes
2,082
Points
280
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,037 2,082 280
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana

Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
 
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
1,100
Likes
305
Points
180
S

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
1,100 305 180
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
shubamiiit.
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
 
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Messages
397
Likes
136
Points
60
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2011
397 136 60
Simba itafute Mtaalam wa Saikolojia ili awasaidie wachezaji wake. Walivyocheza na Mbabane Swallows, Nkana na hata walivyocheza na Soura wachezaji walikuwa na hamasa kubwa ya kujituma uwanjani. Tofauti na walivyocheza na AS Vita au Al-Ahly walikosa hali ya kujituma, Wanakabia macho, wakinyang'anywa mpira wala hawajisumbui kuutafuta, wakifungwa wanacheka na kutabasamu tu wala hawaumizwi na vichapo, mabeki hawarukii mipira ya kona au Cross utazani wamepewa posho na Timu pinzani. Timu hata ikizidiwa uwezo basi waonyeshe hali ya kupambana. Vichapo vya Hamsa vinavunja moyo kwa kweli
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
9,757
Likes
13,713
Points
280
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
9,757 13,713 280
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
Mwenye maamuzi siku ya mwisho ni mchezaji anaangalia wapi patamfaa, mchezaji akiwa sokoni huwezi kusema eti kwa kuwa yanga ndiyo walianza kutangaza that is nonsense thoughts
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
9,757
Likes
13,713
Points
280
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
9,757 13,713 280
Mo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Waambiwe ukweli tu hakuna namna, watu kama hawajitumi tunawabeba wa kazi gani Mo yupo sahihi, watakaa bench mpaka waombe kuondoka kwenye club, hatuktaki kufungwa goli nyingi kama vile ilihali wachezaji wanalipwa pesa ndefu
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
422
Likes
615
Points
180
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
422 615 180
Hali ya hewa iwe mbaya au nzuri sisi tunataka wachezaji wetu wapige kabumbu safi, tuna wachezaji mahiri kabisa simba oyeeee
Mkuu tunawachezaji wazuri wakucheza na mwadui na stand utd na ndanda lakini sio na alhaly
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
422
Likes
615
Points
180
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
422 615 180
Mo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Michezaji inakula pesa tu na haya tupi kitu tunachokitaka hao ni mizigo ikiwezekana ifutwe timu nzima tuanzee upyaaaaaaaa
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
5,775
Likes
3,137
Points
280
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
5,775 3,137 280
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
shubamiiit.
Mtu anaishi Dar anajiona kuwa kuna joto kuliko Alexandria, katembelee kule miezi ya Juni hadi September uone joto lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

CSF

Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
57
Likes
37
Points
25
C

CSF

Member
Joined Sep 4, 2018
57 37 25
Waambiwe ukweli tu hakuna namna, watu kama hawajitumi tunawabeba wa kazi gani Mo yupo sahihi, watakaa bench mpaka waombe kuondoka kwenye club, hatuktaki kufungwa goli nyingi kama vile ilihali wachezaji wanalipwa pesa ndefu
Wanalipwa pesa ndefu kuliko wachezaji wa Al ahly?Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,419
Likes
3,775
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,419 3,775 280
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
Heri washinde benchi Simba kuliko washinde njaa Yanga. Nani anayependa njaa wakati umri wenyewe wa kucheza mwisho miaka 35?
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
9,757
Likes
13,713
Points
280
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
9,757 13,713 280
Mkuu tunawachezaji wazuri wakucheza na mwadui na stand utd na ndanda lakini sio na alhaly
Ahhhhh mkuu mbona unaniangusha, adui wa kwanza wa kufeli ni kutokujikubali mimi achana na mawazo mgano na maono yenye hasi katika maisha yako, sisi ndiyo simba banah tunampiga mtu we subiri
 
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
595
Likes
590
Points
180
jr wa arsenal

jr wa arsenal

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
595 590 180
Heri washinde benchi Simba kuliko washinde njaa Yanga. Nani anayependa njaa wakati umri wenyewe wa kucheza mwisho miaka 35?
Hahaha hujakosea kabisa mkuu, kule mpaka watembeze bakuli ndio wale.
 
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
467
Likes
397
Points
80
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
467 397 80
Simba itafute Mtaalam wa Saikolojia ili awasaidie wachezaji wake. Walivyocheza na Mbabane Swallows, Nkana na hata walivyocheza na Soura wachezaji walikuwa na hamasa kubwa ya kujituma uwanjani. Tofauti na walivyocheza na AS Vita au Al-Ahly walikosa hali ya kujituma, Wanakabia macho, wakinyang'anywa mpira wala hawajisumbui kuutafuta, wakifungwa wanacheka na kutabasamu tu wala hawaumizwi na vichapo, mabeki hawarukii mipira ya kona au Cross utazani wamepewa posho na Timu pinzani. Timu hata ikizidiwa uwezo basi waonyeshe hali ya kupambana. Vichapo vya Hamsa vinavunja moyo kwa kweli
Inawezekana hii taarifa ya kuondosha baadhi ya wachezaji ilishaanza kuwatafuna internally
Hata mke huwa haambiwi ntakuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,497
Members 485,587
Posts 30,123,850