Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

Viruka njia kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba tupeni matokeo. Hivi leo kwa mchina ngapi ngapi?
 
Kujilinganisha ni udhaifu mkubwa tuliokua nao watanzania mkuu, hata mtoto alianza kukaa, akaja kutambaa, akaanza kusimama na hatimaye akatembea, kila kitu ni mchakato
Hizi point kabla ya mechi mnazikumbuka nyie popo watu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom