Tushaanza kunywa za nusubei

Tushaanza kunywa za nusubei

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
11,448
Reaction score
31,559
Kama kawa
IMG_20190324_113140.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MJIANDAEEE KULINDA MARINDAAA YENU JAMANII LEOO WAHUNI WAKOWENGIII WANASUBIRIA KUPASUA MARINDA
 
Me nina ombi kwa jeshi letu la wananchi

Leteni basi lenu mlipaki hapo karibu kabisa na benchi la ufundi ili hii timu yetu ya taifa leo ikifungwa tu, muwachukue hao wachezaji na kocha wao moja kwa moja wapelekwe kambini wakachezee kichapo kwanza

Mambo ya kuruka ruka tuu uwanjani kama senene sisi tumeshachokaaaaa....

Wahajui kucheza jihad hao wanyoa viduku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom