Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,185
- 22,590
Wadau miaka ya kati hapa huyu belle 9 alikuwa ni anakuja vizuri mnoo yeye na diamond..
Ila sijui kilimpata nini diamond akampita ndo mpaka leo iko hivi yaani sasa hivi belle akitoa ngoma haishtui Kama zamani..
Nyimbo zake kama nilipe nisepe, masogange, amerudi, listen, na hii nyimbo yake ya kwanza na Kali kuliko zote sumu ya penzi, na burger movie and selfie
Je alikosea wapi huyu jamaa tusemezane..