Tusemezane: Belle 9 anakwama/alikwama wapi?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Wadau miaka ya kati hapa huyu belle 9 alikuwa ni anakuja vizuri mnoo yeye na diamond..
Ila sijui kilimpata nini diamond akampita ndo mpaka leo iko hivi yaani sasa hivi belle akitoa ngoma haishtui Kama zamani..
Nyimbo zake kama nilipe nisepe, masogange, amerudi, listen, na hii nyimbo yake ya kwanza na Kali kuliko zote sumu ya penzi, na burger movie and selfie

Je alikosea wapi huyu jamaa tusemezane..
 
Kiukwel kwa msimu huu nyimbo za WCB ni kero,hakuna hitsong ya maana , labda misimu iliyopita angalau, nyimbo nyingi ni substandard lakn ndo zinapigwa mtaani, yaan ni vurugu, sa hv ni inama inama kila sehemu,

Wimbo wa Chibonge ulitakiwa utambae sana lakn umezimwa na hawa wahuni wa Tandale, kama wanatumia kizizi, bas hawa WCB wana kizizi kimoja cha Hatar,
Kuna wasanii wengi wamekumbwa na hili sokomoko, ukanda wa Clouds, na timu WCB, Clouds kama hautokei kanda ya kaskazin ni vigumu sana kucheza nyimbo yako, akna Rich mavoko, Ben pol, Bele 9, Baracka Da prince n.k wote ni wahanga, kila Siku utasikia Weusi lakn wanachokiimba hata hakijulikani...
 
Kiukwel kwa msimu huu nyimbo za WCB ni kero,hakuna hitsong ya maana , labda misimu iliyopita angalau, nyimbo nyingi ni substandard lakn ndo zinapigwa mtaani, yaan ni vurugu, sa hv ni inama inama kila sehemu,

Wimbo wa Chibonge ulitakiwa utambae sana lakn umezimwa na hawa wahuni wa Tandale, kama wanatumia kizizi, bas hawa WCB wana kizizi kimoja cha Hatar,
Sasa hivi inabidi uwe na kazi mbili
Uwe na ngoma Kali
Hiyo ngoma yako Kali kuifanya iwe hit

Kimbembe
 
Daaah nilikua nachek ngoma zake ni bora sana uyu jamaa sijui kakwama wapi,Nilitaka nikuteke wee kumbe ni take away.
 
Ali kiba naye sijui anakwama nini..... huyu fala diamond anaimba matusi halafu anaonekana bonge la msanii.... MIMI NASIKILIZAGA BOLINGO TU REGGAE.
 
Na mimi nilijiuliza swali kama hili.

Mnyamwezi Belle9 namkubali, ila basi tu ujue tushazoea siasa za chama kimoja wakija wengine wanaonekana wazushi.

Kwenye Burger Movie Selfie watu wameflow vizuri, very creative.

hahaha mkuu mimi hapa naskiliza belle 9 sumu ya penzi,ngoma imetulia sana alikiba naye siku hizi michosho
 
Na mimi nilijiuliza swali kama hili.
Mnyamwezi Belle9 namkubali, ila basi tu ujue tushazoea siasa za chama kimoja wakija wengine wanaonekana wazushi.
Kwenye Burger Movie Selfie watu wameflow vizuri, very creative.

labda hata belle mwenyewe anajiuliza anakwama wapi?
 
Wasanii wa bongo hawajui kula na vipofu ndicho kinachowaponza.

Mchoyo hana rafiki. Hizi methali zina maana kubwa sana kwenye maisha.

Muziki haufiki mbali kama utajiona umeshakua mkubwa kuwazidi wenye industry.

Ndio mond na ujanja wote hawezi mtupa fella na Tale.
Jiulize kwanini
 
Wadau miaka ya kati hapa huyu belle 9 alikuwa ni anakuja vizuri mnoo yeye na diamond..
Ila sijui kilimpata nini diamond akampita ndo mpaka leo iko hivi yaani sasa hivi belle akitoa ngoma haishtui Kama zamani..
Nyimbo zake kama nilipe nisepe, masogange, amerudi, listen, na hii nyimbo yake ya kwanza na Kali kuliko zote sumu ya penzi, na burger movie and selfie

Je alikosea wapi huyu jamaa tusemezane..
Fiesta ya kwanza kabisa mond na bele ilikuwa jamhur moro pale ndo bele alkkosea sana ile show na kufanya mond aaminike zaid kuliko yeye
 
Wasanii wa bongo hawajui kula na vipofu ndicho kinachowaponza.
Mchoyo hana rafiki. Hizi methali zina maana kubwa sana kwenye maisha.
Muziki haufiki mbali kama utajiona umeshakua mkubwa kuwazidi wenye industry.
Ndio mond na ujanja wote hawezi mtupa fella na Tale.
Jiulize kwanini
ina maana belle 9 alitukbna mamba kabla hajavuka mto mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom