miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,709
NIKISOMA HUU UZI NAFURAHI SANA
Duh.bei ya gari hiyo kabisa. Unapata pajeroWewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.
Naunga mkono hoja! Kitu LG mzee hutojutasamsung bado xana
Mkuu huna gari au hujataka tu kuwa na gariHizo milioni NNE kwa usawa huu si bora ninunue kagari hata kama kanafanana na ka Mr Bean
Wapi pajero inauzwa bei hiyo?Duh.bei ya gari hiyo kabisa. Unapata pajero
Feki Nyingi Sana HukoNunua Samsung... Alafu urudi na Uzi mpya
1. Kwani kakuambia huwa anaangalia tuu channel za kibongo?Ushamba ni mzigo walah! CHANEL za bongo nyingi hazirushinmatangazo yenye quality na ubora ktk display! Na hii ni kwasababu ya vifaa na utaalamu wanaotumia kufanya production na editing! ...
Hili hupelekea picha zao kua hafifu na mbaya ktk TV zenye resolution kubwa hasa Hizi za kisasa... mnaita flat screen!
Angalia chanel za mbele hasa hawa supersport uone wanavong'aa ktk screen!
Picha utayopiga ktk simu ya tecno W3 ukiipeleka ktk iphone 7 au galaxy S9 itaonekana kituko japo ktk tecbo itaonekana ni bora... resolution ndio tatzo hapo! Tv imezidi Ubora hayo mawimbi husika.
Bora LG na ZEC ndio hazijachakachuliwa sana lakini SAMS nyingi ni hatari zilizopo madukani utajuta baada ya kuinunuaFeki Nyingi Sana Huko
Kuzipata OG ni mtihani wa taifa
Flat screen zitasubir Sana kwa ubora wa picha kwa chogo....sanaaa Tena Sana nilinunua flat baadae nikaona ubovu wake nikarud kununua chogoWengi hili jambo hamlijui tu
Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv
Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen
Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo
Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu
[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Kwelii???Flat screen zitasubir Sana kwa ubora wa picha kwa chogo....sanaaa Tena Sana nilinunua flat baadae nikaona ubovu wake nikarud kununua chogo
Hata hizo plasma huwez fananisha na chogo ila huyo anatumia flatiza Kichina natumia plasma ya Sony ipo poa mnoSîo kweli, nunua TV flat ya kisasa ila ntakubaliana na wewe kama unatumia flat screen zenye teknolojia ya kizamani kama plasma,LCD etc
Flat screen zimeundwa kuwa 'disposable' baada ya muda mfupi wa matumiziWengi hili jambo hamlijui tu
Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv
Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen
Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo
Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu
[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Yaani unashindwa kuiona tofauti kati ya inchi 42 na 60!!!!!!!!Wewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.