Majenereta ya Richmond? Hivi unafahamu kuwa richmond ni vacuum? Hai exist, ilikuwa ni dili la wajanja kupiga pesa? Ni kampuni hewa, HAIPO, sasa unaposema majenereta ya richmond sijui unamaanisha nini?
good point naomba nikuulize swali hela za tichmond hazijarudi, lakini za escrow zimerudi, za samaki wa kichina, umesoma ripoti ya CAG kuhusu miradi ya barabara, meremeta, pesa zilizochotwa benki kuu 1995 . najua umejaribu kuwa positive lakini basi kuwa mkweli halisi, usitie na uwongo' watanzania hawamtaki mtu, lowassa ni daraja tuu la kile watanzania wanataka, wao wanataka mabadiliko, na kama nyerere alivyosema kama hawatayapata ndani ya CCM watayapata nje ya CCM. tatizo siyo mtu ni mfumo, mimi nilikuwa pro magufuli, only for a week, nilipoona anakwenda kule kule kwa kikwete 1995 na ahadi lukuki nikajua changa la macho, unfortunately mpaka leo bado anaahidi tuu , vitu vingine kwa nini visitekelezwe leo , kwani CCM si iko madarakani ukisema wazee dawa bure , sema kuanzia leo dawa bure, kura yangu unapata, ukisema elimu bure sema tu, kuanzia leo elimu bure , kama mkilipa mimi magufuli nitarudisha, kura yangu unapata, ukisema nitaleta miradi ya maji, amrisha chama chako watoe mchanganuo wa hiyo miradi , na hapo hapo tunakupigia kura, kilichoniudhi ni pale anazungumza na neno, mkinichagua ..........., looo sasa hii sinema ndiyo inanigeuza , huu mfumo wa uwongo ndiyo tatizo, na i promise you , magufuli hana clout kubwa kwenye CCM kuubadilisha, na kama atashinda , the chance ya kuwa weak president ni kubwa kwani full weight ya chama itamuambia bila sisi wewe huna kitu, i hardly see him shaking kikwete, mkapa , malecela, bulembo, etc from his back labda mungu awachukue