Kipindi anakuzaa huwezi hata kujigeuza, huna chochote zaidi ya makamasi tu, alikufanyia kila kitu na jicho lake muda wote lilikua kwako leo hii ndo unamuwazia hivyo.
Hongera mgerasi nasikia umehama kutoka ile kampuni ya ulizi ya wachapa kazi security na sasa umehamia Garda world na umepelekwa lindo la Toyota pale posta