Tusaidiane, nipeni mbinu nimalize mchezo

Tusaidiane, nipeni mbinu nimalize mchezo

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,759
Reaction score
15,574
Kuna jamaa nilikua napiga nae story akaniambia, Kuna ndoto anaota inajirudia rudia, inamsumbua na haipendi.

Anaota parapanda inapigwa mwisho wa dunia umefika na yeye bado hajatubu makosa yake, anakuwa kwenye hofu kubwa na kuanza kuomba msamaha na kujitetea.

Ikabidi nimpe tafsiri ya hiyo ndoto.

Tuachane na hayo nije kwenye mada yangu.

Njia rahisi na nyepesi ya kudaka moyo wa mtu.

Kuna binti, kwenye mazingira fulani, kaomba namba yangu nikampa, kwa kifupi, ni inshu za kiofisi hadi nimpe namba yangu, ila hakukuwa na ulazima huo.

So mim nimeona ana interest na mimi.

Napanga tongozo, mbinu nyepesi ya kufanya ajae chapu, tuvunje na amri ya kuzini mapema sana ndio naitafuta.

Ila sitaingia na matalajio makubwa, kidogo nitakachoambulia hicho hicho hata kama hajua kukiss, akiwa angry girl fresh nitapambana nae, akiwa wa vizinga haya, akiwa mzee wa kamba nyingi haya.. 😣

Ajenda ya sasa ni namuingizaje box huyu miss, she is a tall girl tunaangaliana jicho jicho.

Sema strong relationship ni ngumu kuipata aloo,
Hadi muujiza wa sir. God
 
IMG-20250430-WA0198.jpg
 
Currently account yako ya benk ina digits ngapi? Nomeuliza hili swali maana jibu la swali hili ndio litaamua kama nikushauri au nisipoteze muda.
 
Currently account yako ya benk ina digits ngapi? Nomeuliza hili swali maana jibu la swali hili ndio litaamua kama nikushauri au nisipoteze muda.
Kwa bank sina any, ila naweza tenga ka bajeti kidogo kwa hii shuhuri 😁

So mapenz ni pesa. 🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom