Tusaidiane kwenye hesabu hii

Tusaidiane kwenye hesabu hii

Gbnoah

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Tusaidiane kimawazo hapa,Nikiwa na shilingi hamsini 50/= nitumie shilingi ishirini 20/= zitabaki thalathini 30/= Nikitumia kumi na tano 15/= zitabaki 15/= Nikitumia 9/= zitabaki 6/= Nikitumia 6/= itabaki sufuri 0/=

Matumizi. Baki
20/=. 30/=
15/=. 15/=
9/=. 6/=
6/=. 0/=
---------- ----------
50/=. 51/=
Shilingi moja imetoka wapi?

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Imetoka kwenye hesabu yako isiyo na kichwa wala miguu.
 
UmeSolve kutumia system of Y3music?
 
ngoja kwanza hiyo shilingi 6 ulinunulia kitu gani kabla ya kuchoshana
 
Back
Top Bottom