Tusaidiane kufikili haka ka kitu.

Tusaidiane kufikili haka ka kitu.

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,146
Heri ya mwaka mpya jamani.Naomba kujuzwa hivi kwanini saa zetu hapa nchini ikiandikwa 7 tunasema saa 1,ikiandikwa 8 tunasoma hiyo ni saa 2.Naomba kujuzwa nini kinapelekea kuwa hivyo naamini humu kuna wataalam wa kila namna ambao wanaweza kunijuza hili jambo.HUWA NAPENDA SANA KUREASON HATA MAMBO MADOGO ndio kisa cha kupost hii kitu.
 
Back
Top Bottom