Tusaidiane Juu Ya Hili.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nina shemeji yangu wa kike, ambaye ni mdogo wa mke wangu.Siku nyingi nahangaika jinsi nitavyo mwita mkaka anayemwoa huyu shemeji yangu.
 
Niliwahi kumwita shemeji akanambia shemeji yako hayupo.
 
Back
Top Bottom