mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,090
- 653
sasa tunaopangwa kustaafu kwa hiyari mbona tunarudishana nyuma.Ata mimi iko hivyo! Nilitoka PPF nikaenda NSSF. Michango inaanzia February 2019.
sasa tunaopangwa kustaafu kwa hiyari mbona tunarudishana nyuma.Ata mimi iko hivyo! Nilitoka PPF nikaenda NSSF. Michango inaanzia February 2019.
Kwani fao la kujitoa bado lipo?Ni kweli sekta binafsi wote wanahamia NSSF unawapa namba yako uliokuwa unatumia PPF wanai convert wanakupa namba mpya ya NSSF ila kuhusu madai jaribu kuomba fomu ujaze wakupe chako.