Tusaidiane hili la PPF, NSSSF na NSSF

Tusaidiane hili la PPF, NSSSF na NSSF

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,520
Ndugu zangu kuna jambo naomba kuuliza nipatiwe ufafanuzi.
Mm nilikuwa mwanachama wa PPF, baadae kama mnavyojua tulihamishiwa PSSSF na mwezi June nilienda kuangalia michango yangu PSSSF nikakuta ipo salama kabisa.

Ajabu Leo wamekuja watu wa NSSF kazini wanasema tunatakiwa tena kuhamia huko.

Najiuliza huu mkanganyiko wa hama hama hii unamaana gani hasa.?
 
Uko sekta ya umma au binafsi?
 
Binafsi wote wanahamshiwa NSSF .PSSF inabaki na wa sekta ya umma tu.Hivyo wa sekta ya umma waliokuwa NSSF na wao wanahamshiwa PSSF.Kwa hiyo Kama uko sekta binafsi wanakutoa PSSF na kukupeleka NSSF
Sasa ilikuwaje wakatutoa Ppf kwenda Psssf badala ya kutupeleka NSSF moja kwa moja?
 
Ndugu zangu kuna jambo naomba kuuliza nipatiwe ufafanuzi.
Mm nilikuwa mwanachama wa PPF, baadae kama mnavyojua tulihamishiwa PSSSF na mwezi June nilienda kuangalia michango yangu PSSSF nikakuta ipo salama kabisa.

Ajabu Leo wamekuja watu wa NSSF kazini wanasema tunatakiwa tena kuhamia huko.

Najiuliza huu mkanganyiko wa hama hama hii unamaana gani hasa.?
Ni kweli sekta binafsi wote wanahamia NSSF unawapa namba yako uliokuwa unatumia PPF wanai convert wanakupa namba mpya ya NSSF ila kuhusu madai jaribu kuomba fomu ujaze wakupe chako.
 
Hata hapo PPF haukuwa mahali pako. Ila watu wote wa PPF walitakiwa waende Psssf. So na ww ukaenda kwa mkumbo huo. Ki msingi Unatakuwa uwe NSSF
Sasa ilikuwaje wakatutoa Ppf kwenda Psssf badala ya kutupeleka NSSF moja kwa moja?
 
Ndugu zangu kuna jambo naomba kuuliza nipatiwe ufafanuzi.
Mm nilikuwa mwanachama wa PPF, baadae kama mnavyojua tulihamishiwa PSSSF na mwezi June nilienda kuangalia michango yangu PSSSF nikakuta ipo salama kabisa.

Ajabu Leo wamekuja watu wa NSSF kazini wanasema tunatakiwa tena kuhamia huko.

Najiuliza huu mkanganyiko wa hama hama hii unamaana gani hasa.?
Kwani Lady Ra anasemaje katika hili swala?
 
Ndugu zangu kuna jambo naomba kuuliza nipatiwe ufafanuzi.
Mm nilikuwa mwanachama wa PPF, baadae kama mnavyojua tulihamishiwa PSSSF na mwezi June nilienda kuangalia michango yangu PSSSF nikakuta ipo salama kabisa.

Ajabu Leo wamekuja watu wa NSSF kazini wanasema tunatakiwa tena kuhamia huko.

Najiuliza huu mkanganyiko wa hama hama hii unamaana gani hasa.?

Hapa kuna series of events mpaka tumefika hapa. Iko hivi,

1) Hapo mwanzo ilikua kila sekta imepangiwa mfuko wake. Baadae wakaja wakaona ni ukiritimba sababu watu kama NSSF kwa mfano hawakuhitaji kufanya ubunifu wowote sababu walijua wewe ukiwa private sector basi ni wao tu automatically.

2) Sheria zikabadilishwa ili mfanyakazi awe na uhuru, anachagua kulingana na mfuko anaoona yeye unamfaa. Hapa ndipo kukawa na ushindani wa kibiashara uliopelekea mifuko hii kuanza kuleta ubunifu ili kuvutia members. Yakaibuka mafao mbali mbali ambayo mwanzo hayakuwepo. Hapa ndipo swala la kufuata sekta likafa, ikawa mfuko wowote unaruhusiwa kumsajili mfanyakazi yoyote. Yaani hapa ndio mtu wa Private sector aliruhusiwa hata kujiunga PSPF.

3) Hii mifuko ilipokuja kuungwa mwanzo wakasema wale waliojiunga mifuko ya sekta ingine (#2)waendelee kubaki kule kule, iwe kama walijiunga bahati mbaya tu. Lakini wapya ndo itabidi wafuate mifuko ya sekta waliyoko. Ila tu mifuko yao ndo itakua imeunganishwa. Mfano kama ulikua PSPF, GEPF, LAPF, PPF hapa wote mtaingia PSSSF ambao ndo mfuko uliobeba hiyo mifuko mengine. Na hapa ndio maana June ulijikuta uko PSSSF.

4) Ila sasa umekuja waraka mpya kwamba wale walioingia mifuko isiyo yao (#2) wakati ule wa uhuru wa kuchagua wanatakiwa kurudi mifuko yao wanayotakiwa kua. Ule uhuru umeonekana kua yalikua ni makosa na lazima yasahihishwe. Ile bahati mbaya (#3) ikaonekana sio bahati mbaya tena. Ndio maana wewe sasa uko NSSF, sio PSSSF tena.
 
Hapa bila shaka kapata majibu yote.
 
umeeleza vizuri sana, mimi pia ilinikuta hiyo ila sasa niko NSSF na walikuja kazini kwetu tukajaza form zao.
 
Je walihamisha pia michango yako yote ulochangia mifuko ya zamani? nilihamishwa toka PPF nikaenda NSSF-Sababu ya kuwa katika sekta binafsi. Lakin leo nimejaribu kuangalia kwa portal ya NSSF naona wameanza kuchukua Michango yangu ya Kuanznia Feb-2019 na kuendelea tu. Je hapa issue iko kwa Muajiri ama PPF?
 
Ndugu zangu kuna jambo naomba kuuliza nipatiwe ufafanuzi.
Mm nilikuwa mwanachama wa PPF, baadae kama mnavyojua tulihamishiwa PSSSF na mwezi June nilienda kuangalia michango yangu PSSSF nikakuta ipo salama kabisa.

Ajabu Leo wamekuja watu wa NSSF kazini wanasema tunatakiwa tena kuhamia huko.

Najiuliza huu mkanganyiko wa hama hama hii unamaana gani hasa.?
Ukikubali kuhama tu imekula kwako. NSSF hali yao tete.
 
Je walihamisha pia michango yako yote ulochangia mifuko ya zamani? nilihamishwa toka PPF nikaenda NSSF-Sababu ya kuwa katika sekta binafsi. Lakin leo nimejaribu kuangalia kwa portal ya NSSF naona wameanza kuchukua Michango yangu ya Kuanznia Feb-2019 na kuendelea tu. Je hapa issue iko kwa Muajiri ama PPF?
michango haijahama nadhani ni swala la kufuatilia uko nssf si la muajilri.
 
Thanks. Inamaana pia ww hukuhamishiwa michango ya zaman? na hujafuatilia bado?
yeah michango haikuhamishwa, sijafuatilia kutokana na shughuli zangu ni za kukaa porini muda mrefu ila next month natarajia kufatilia
 
Je walihamisha pia michango yako yote ulochangia mifuko ya zamani? nilihamishwa toka PPF nikaenda NSSF-Sababu ya kuwa katika sekta binafsi. Lakin leo nimejaribu kuangalia kwa portal ya NSSF naona wameanza kuchukua Michango yangu ya Kuanznia Feb-2019 na kuendelea tu. Je hapa issue iko kwa Muajiri ama PPF?
Ata mimi iko hivyo! Nilitoka PPF nikaenda NSSF. Michango inaanzia February 2019.
 
Back
Top Bottom