Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndomana upo tofauti na wengine[emoji23][emoji23][emoji23] wenzio wamejaribu kujibu wewe unaleta makuzi[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndomana upo tofauti na wengine[emoji23][emoji23][emoji23] wenzio wamejaribu kujibu wewe unaleta makuzi[emoji28]
Daaah asee nlisanda🙏4...Kimara
Pale Askari kuna mshona viatu aliandika kibao KUULIZA- 500/=, KUPELEKWA 1000/= Sijui alikuwa anatania?. Sorry nimekosea kukuquote.Kwahiyo ukiishi mkoa unakuwaje
[emoji23][emoji23]
Anyway nipo Sumbawanga
4. Kimara