We jidanganye tu. Utamu una mwisho kama hujuiMajukumu unayo wewe sie wengne tunakula pension sa hvi embu tuache tule vitu vitamu kama nanasi
Du boss najaribu kucheck roman hata hazisomi
uliza "Kilwa Pub" kuna mchemsho safi sana mengine utajua kutokea hapo.Mkuu Niko vizuri sana. Nataka mabinti sio mama za watu
Naelekea huko ntatoa mrejesho kwa manufaa ya wengine watakaokuja huku
We jidanganye tu. Utamu una mwisho kama hujui
Huwa mnalazimisha tu lakini unaishaLabda kwenu kwetu sie hauishi
Huwa mnalazimisha tu lakini unaisha
Hahahahaaa!Tulazimishe nn wakat excitement iko vile vilee nyie ndio mnafika mwisho kwa matumiz ya binadamu
Watakuwa wameyataka wenyewe,,,Vp huna ukimwi? usije kuwa unataka kuwaambukiza ukimwi mama za watu huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda bwalo la polisi
Kwa maisha yalivyo magumu badala uwaze namna ya kuongeza kipato chako unakaa unawaza sehemu ya kujimwaga tena ukiangalia kesho bado ni siku ya kazi.
Daah we ni noma aisee
KwahiyoYakiwa magumu kwako sio magumu kwa wote.
Na sio wote wana ratiba kama yako.
Upo Lindi mkuu....
NdioUpo Lindi mkuu