Tusaidiane Hapa LINDI

Vp huna ukimwi? usije kuwa unataka kuwaambukiza ukimwi mama za watu huko.
 
Kwa maisha yalivyo magumu badala uwaze namna ya kuongeza kipato chako unakaa unawaza sehemu ya kujimwaga tena ukiangalia kesho bado ni siku ya kazi.

Daah we ni noma aisee
Siku ya kazi Mkuu ndo usiburudike ? Kazi n'a dawa
 
Kwa maisha yalivyo magumu badala uwaze namna ya kuongeza kipato chako unakaa unawaza sehemu ya kujimwaga tena ukiangalia kesho bado ni siku ya kazi.

Daah we ni noma aisee

Majukumu unayo wewe sie wengne tunakula pension sa hvi embu tuache tule vitu vitamu kama nanasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…