Turudi kwenye biashara za kubadilishana bidhaa kwa bidhaa ili kunusuru uchumi wetu!

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
Habari wandugu!
Sijagusia lolote katika sakata la Lissu vs Serikali ya Magufuli kwasababu naona kama Lissu anawatosha vizuri tu! Actually he is more than a match for them.
Anawachukua speed kama baiskeli ya kuibiwa!

Kama utawala huu utaendelea kuwepo na hii ignorance ya kuhandle mzunguko wa fedha itaendelea kutamalaki basi ni bora kuacha kutegemea mzunguko wa fedha ambao uko kwenye shida kubwa na unategemewa kukumbwa na shida kubwa zaidi hapo vumbi la mechi ya Lissu vs serikali ya Magufuli litakapotulia.

Watanzania ni wachapakazi na wala hawakuhitaji kuambiwa hapa kazi tu!
Ila kwa jinsi mzunguko wa fedha ulivyokaa vibaya watu wanakata tamaa.

Imefikia mahali gharama za kuvuna mazao na kusafirisha kwenda sokoni hazirudi hata baada ya mazao kuuzwa. Hii ni bila kuongelea gharama za mbegu, kukodisha shamba, kulima na kutunza.

Ili maisha yaendelee na shughuli zisikwame hatuna budi kurudi kwenye ujima. Tubadilishane kuku kwa nyanya na ndizi kwa mahindi.

Niko sawa wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimu mazengo

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
902
1,000

Lissu ni chaguo la watanzania. Jiwe ni chaguo la shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom