Wapi ktk hayo maandiko kumetajwa hawa jamaa watafutwa? Ok hili tukio la kuzingirwa na kupondwa lilitokea mwaka 70 A.D na Si kwamba wayahudi wote walifutwa na wala maandiko hayasemi hivyo kwamba watafutwa km wewe ulivyosema hapo....!
Na pia umetumia nukulu kutoka kitabu cha biblia kutuonyesha utabiri juu ya Israel na huu unabii ulitimia kwa Dola ya Rumi kuwavamia Wayahudi mwaka 70. Hii ikiwa na Maana kwamba kitabu cha Biblia ni kitabu cha kweli na Yote kiyasemayo yanatimia....! Swali .
ule haukua hata unabii.maandiko yameandikwa tayari tukio limetokea.wamekuja kuedit in future tense wakaita unabii
kwanini asijibu kama haogopi?.yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior duniani hakuna jipya kwa turkey ni kalele za media walizobakiwa nazo waarabu .na wala hutawasikia israel wakimjibu coz netanyahau alishawaambia maafisa wake wawapuuze kuwajibu viongozi wa kiarabu wanawowashutumu kupitia media
Hii list hai-take into considerationnuclear capabilities za nchi husika, na Israel is a nuclear power while Turkey is not, achilia mbali submarinesmpya za kisasa kabisa with nuclear capability itakazopata kutoka Germany hivi karibuni!! Israel haitasita kutumia nuclear wepons turkey pia ana submarine.pia i srael kwa udogo wake wala haihitaji nuklear.
hata ivo kuna kombora za nyuklia turkey
yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior
binafsi sikubaliani na ushabiki tunaouonyesha hpa kwa misingi yetu ya kidini kumbukeni wakati c tunaonyesha ushabiki wetu hpa kuna watu wanakufa huko, sasa tutakuwa watu wa ajabu kushabikia binadamu wenzetu kufa,kwa upande wangu siwezi kuthibitisha khs waisrael au wapalestina juu ya madai yao ila ninachokiona ni hali ya upande mmoja kuona wana haki zaid ya upande mwingine, siku wakitambua wote wana haki sawa khs sehemu husika basi tutaanza kuona dalili za amani mashariki ya kati .....jerusalemu ni sehemu muhimu kwa pande zote km kweli wana nia ya kweli ya kuumaliza huu mgogoro wagawane ardhi jambo ambalo linawezekana kbsa kwani kuna kpindi israel walikubali kutoa sehem ya mji huu kwa wapalestina ingawa mazungumzo yalikuja kukwama kwa hyo naamini kbsa inawezekana km kuna masikilizano
Kubali tu umeishiwa hoja.wewe nadhani ndo umesema wayahudi asili yao pale jerusalem.Yaani wewe hata maana ya ushahidi hujui ....
Lakini pia hata maswali yangu hujayajibu ....
Wakati mwingine kupoteza muda bila sababu ni ujinga ....
Ukijibu niambie nije nione majibu yako sina muda na hadithi mie!
DAUD ni mmoja kati ya mlolongo wa watawala toka jamii mbalimbali waliopata kutawala hapo na wakapita enzi hizo hakuna cha sheria za kimataifa,na haimpi haki kizazi chake kuja kuwafukuza waliowakuta na kusimika utawala wao wakati hivi sasa kuna sheria za kimataifa ziki govern dunia.Hata Israeli ya Mfalme Daudi nayo ilikuwa kwa maslahi ya Marekani?
Kubali tu umeishiwa hoja.wewe nadhani ndo umesema wayahudi asili yao pale jerusalem.
mimi nikasema asili yao si pale wao ni wa kuja tu pale na hawana haki ya kudai kuwa pale ndo asili yao.
nikasema kwa kuweka ushahidi wa historical fact kwamba kabla hata abrahamu hajazaliwa,pale jerusalem alikuwepo mtawala kama chief na alikua answerable kwa pharao ambayo misri ndo ilikua empire ikitawala hadi maeneo hayo.huyo chifu aliitwa ABDI HEBA.(google that).
nikauliza iweje enzi hata hajazaliwa abraham babayake isaka na babu yake yakobo,awepo mtawala wa jerusalem anaeitwa ABDI?.
Ngoja nikuulize swali la msingi .....Kubali tu umeishiwa hoja.wewe nadhani ndo umesema wayahudi asili yao pale jerusalem.
mimi nikasema asili yao si pale wao ni wa kuja tu pale na hawana haki ya kudai kuwa pale ndo asili yao.
nikasema kwa kuweka ushahidi wa historical fact kwamba kabla hata abrahamu hajazaliwa,pale jerusalem alikuwepo mtawala kama chief na alikua answerable kwa pharao ambayo misri ndo ilikua empire ikitawala hadi maeneo hayo.huyo chifu aliitwa ABDI HEBA.(google that).
nikauliza iweje enzi hata hajazaliwa abraham babayake isaka na babu yake yakobo,awepo mtawala wa jerusalem anaeitwa ABDI?.
DAUD ni mmoja kati ya mlolongo wa watawala toka jamii mbalimbali waliopata kutawala hapo na wakapita enzi hizo hakuna cha sheria za kimataifa,na haimpi haki kizazi chake kuja kuwafukuza waliowakuta na kusimika utawala wao wakati hivi sasa kuna sheria za kimataifa ziki govern dunia.
hata mfalume wa mwishomwisho wa israel kingdom,hedekia alipachikwa na waasyiria ambao kipindi hicho ndo wamepakamata hapo
Ndo kusema hata wewe huwezi kupekua na kupata ushahidi wakati nimekuwekea hint.Ngoja nikuulize swali la msingi .....
Kabla ya Waisraeli kwenda pale Jerusalem,ni watu gani walioishi hapo?
Nataka uweke na ushahidi ...!!
Ndo kusema hata wewe huwezi kupekua na kupata ushahidi wakati nimekuwekea hint.
ok kwa uchache kabla sijaingia kutake shower.
wamoab walikuwepo,wakaanani walikuwepo,wafilisti,waamedian,waasyria ,jebusite etc
hiyo ni hint ukitaka deeply search au la ntakuelekeza kwa mda wangu.
Ooh,jerusalem hebu anza na jebusite kwanza wakati nikiangalia utaratibu mwingine.
Ngoja nikuulize swali la msingi .....
Kabla ya Waisraeli kwenda pale Jerusalem,ni watu gani walioishi hapo?
Nataka uweke na ushahidi ...!!
We u support au usi support nani anaekujua?
Mkerewe Unaeishi kwa Kusafisha Utumbk wa Samaki Nani anasjida na hilo Vumba lako?
We ndio Ukiskia debe tupu huwa haliachi kupiga kelele.
Utalalama huko ukerewe weeeee! Ukimaliza Utafunga kopo lako lkn waungwana Wanaendeleza Mambo yao km kawaida.
Shukuru JF japo Unepewa nafasi ya Kujadili Na waungwana.
I bet huko uliko hata jirani Hakutambui km uko Duniani!
Watu km nyie mnatusababishia Pollution tu na Kumaliza Oxygen na hizo pua kubwa Km Ngumi ya mwizi.