Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

Sasa ni wazi kuwa kuna crisis kati ya marekani na uturuki japo vyombo vya habari vya magharibi vinajaribu kuficha.
 
Mkuu..
Huu mchezo kaucheza mwenyewe Rais Erdogan/kama unavyosema ni mtoto wa mjini..

1.Hawa wanajeshi waliojaribu kupindua ni wale loyalist kwake na ni senior wachache
2.Baraka kutoka vikosi tofauti ndani ya jeshi Hazikuwepo meaning special forces commands,land forces and naval forces command their soldiers to go back to their barracks, it wasnt planned by turkish army..(hapa walishitukia mchezo wa mtoto wa mjini/Erdogan)
3. Rais Erdogan ametoa order around 2500 judges to be arrested.(sababu bado azijawekwa wazi.."Kijicho pevu Hapa kaimaliza mahakama")

he will now proclaim himself sultan
This will mark the end of a secular turkey. Sharia law will soon be implemented
Hii ni conspiracy tu, Hilo ni jaribio la kweli la mapinduzi lililoshindwa. Hali na siasa za Uturuki kabla na baada ya mapinduzi haitoi mwanya kwa cospiracy hiyo. Inasemekana kuwa kuna nchi kama Misri na Israel zilikuwa upande wa mapinduzi. Erdogan ana deni kubwa kwa wananchi ambao walijitolea miili yao ipambane na vifaru vya jeshi na hivyo kuzima shambulio hilo.
 
hakika nimeshuhudia uzalendo wa wananchi wanapiga fimbo kifaru cha wanaotaka kupindua nchi!!! wanaelewa madhara baada ya mapunduzi Raid hili ni deni kwa wamanchi wako
 
I feared the increasing Islamization of Turkey by the mendacious petty tyrant Erdogan would go on unchecked, with what appeared to have been a weakened military retreating to their barracks for good. But it appears that the spirit of Kemalism is still alive in the ethos of Turkey's army. Let us remember that the military has been the guarantor of secularism in Turkey until recent years, so let's not fall into the traditional paradigm of seeing the "elected" leader as the expression of democratic principle. Erdogan has been slowly concentrating power in his own hands and sees himself as the successor to the Ottoman Sultan. It would be a good thing for Turkey and the West if the military puts Turkey back on the path to secularism and modernism
Unalolisema ni kweli kabisa ndani ya jeshi la turk kuna mpasuko wapo wanajeshi wamechoka na secularism na wanapenda kuirudisha turk iwe kama enzi za Ottoman Caliphate, but western colonial powers they try hard to supress this fulfillment.
 
Halafu Turkey inataka kujoin EU,EU wakikubali nitawadharau milele
Angela Merkel, Chancellor wa Ujerumani (super power wa EU) alivyo "mjinga" hakawii kukubali. Huyu mama ni wa ajabu kidogo, unaona kabisa bomu linaingia nyumbani kwako halafu kwa kisingizio cha "ubinadamu" unachukulia poa tu. Mbona wao hawana ubinadamu?
 
endorgan ameitaka marekani kama wanataka uhusiano wamsalmishe Gulen,uturuki imeifunga airbase wanayotumia wamarekani na hakuna anaeruhusiwa kuingia ama kutoka,kumbuka hapo ndo kuna mabomu ya nuclear yakiwa chini ya wanajeshi wa marekani 1500

Haha mimi simfagili marekani sana lakni huyo edgron sijui is a piece of cake.
 
Au ndio wababe wanalipiza kwa kutunguliwa ndege yao ya kivita?
Mkuu, PM wa uturuki ameishutumu Marekani kwa kupanga mapinduzi kwa kuwa kuna kiongozi mmoja wa dini aliyehasimu na mwenye msimamo mkali dhidi serikali ya uturuki ambaye kwa sasa yupo uhamishoni nchini marekani ndio anashutumiwa kula njama na marekani kufanya jaribio la mapinduzi

Uturuki na Urusi walishamalizana kuhusu mgogoro wao na ushirikiano wa kidiplomasia wameshaurejesha, Hivyo hakuna uhasama tena
 
Angela Merkel, Chancellor wa Ujerumani (super power wa EU) alivyo "mjinga" hakawii kukubali. Huyu mama ni wa ajabu kidogo, unaona kabisa bomu linaingia nyumbani kwako halafu kwa kisingizio cha "ubinadamu" unachukulia poa tu. Mbona wao hawana ubinadamu?
Huyu mama naona anazeeka vibaya,ila soon uchaguzi ujayo hatoshinda kuongoza chama chake and hence no uchancelor
 
Waturuki hawana shinda na EU kwa sasa , ila ni other way around EU needs Turkey !
nothing more,zaidi ya kukubaliana na Turkey ichukue wakimbizi,kungekuwa na amani Syria,yaani EU wangekuwa hata hawaikumbuki Uturuki,sasa hivi Turkey anaiblackmail EU kwa sababu ya Refugees.Nothing else.
 
Angela Merkel, Chancellor wa Ujerumani (super power wa EU) alivyo "mjinga" hakawii kukubali. Huyu mama ni wa ajabu kidogo, unaona kabisa bomu linaingia nyumbani kwako halafu kwa kisingizio cha "ubinadamu" unachukulia poa tu. Mbona wao hawana ubinadamu?
Mkuu EU sio sawa na EAC, EU wanataratibu na vigezo vyao kwa nchi inayoomba kujiunga na EU lazima itimize vigezo vyote, kwa uturuki bado inaangaliwa inaweza timiza taratibu na vigezo vyote ndipo iweze kujiunga na EU, sio kama EAC ukiomba tuu kujiunga faster unaruhusiwa wala hakuna vigezo si unaona South Sudan. Tumeongeza tatizo wakati tunalo tatizo lingine la muda mrefu (Burundi) na ndo maana jumuia za Afrika haziwezi endelea kwa kuwa haziwezi tatua matatizo bali kuongeza. EU kila kukicha inapiga hatua hata kama kuna members wanataka kujitoa ila iko imara.
 
Huyu mama naona anazeeka vibaya,ila soon uchaguzi ujayo hatoshinda kuongoza chama chake and hence no uchancelor
tatizo population ya ujerumani inashuka,ndo maana wanaruhusu wakimbizi waingie kwao,kwani wakicheza nchi itabaki na watu 150 tu miaka 50 ijayo
 
Back
Top Bottom