Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Kumekua na hali ya sintofahamu nchini Uturuki,
Madaraja, flyover zimefungwa

Waziri mkuu anasema kuna vikosi vimekataa ku-obey order toka kwa mabosi wao wa kiraia

Je ni mapinduzi ya kijeshi yanaendelea?


image.jpeg

image.jpeg


08:00 am | July 16, 2016:



UPDATES:

- Kuna baadhi ya vikosi vimeasi kwa mujibu wa cnn
Military jets flying low in capital city

- Njia zote muhimu zimefungwa,anga ya Turkey imefungwa
Wanajeshi wanafanya patrol

- Mawasiliano yako disrupted. Mpaka sasa bado haijaelewaka mamlaka ya nchi yupo kwa nani?

- Majeshi yametangaza kushika nchi. Rais inasemekana yupo salama ila haijasemwa wapi yupo

- Martial Law imposed in Turkey - State Broadcaster

- Rais Erdogan amejitokeza kwenye local channel kasema yupo salama bado anaongoza nchi
Amewataka wananchi waenda kwenye public squares na viwanja vya ndege. Hatakubali watu wachache wachezea democrary ya Uturuki

- US is aware coup is underway in Turkey but dont know who is winning

- Stock exchange around the world are declining. Oil price up 2%

- Mapigano na milio ya silaha yasikika katikati ya Ankara. Helikopta zarusha makombora kwenye makao makuu ya ofisi ya ujasusi

- US government trying so hard to re-instate Erdogan to power by mobilizing demostration against the coup. Coup leaders communication devices jammed

- Unrest can happen anytime unless one side win before sun rises

- Column of military tanks advance on prime minister palace

- Milio ya risasi yarindima mjini Ankara
Wanajeshi wanamuunga mkono Rais Erdogan waanza kukabilina na waasi

- Rais Erdogan arejea Ankara. Waasi wameanza kukamatwa

- Dalili zote za mapundizi kushindwa ziko wazi

- Wananchi wameandamana kupinga jaribio la mapinduzi ya kijeshi

- Miji ya Ankara na Instabul maandamano ni makubwa,

- Raia wanazuia vifaru na magari ya kijeshi kwa kufunga Njia kwa maandamano

- Helikopta iliyokua inafanya mashambulizi imedunguliwa na ndege ya kijeshi F16

- Wanajeshi watiifu wamefanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi ya kijeshi. Rais Erdogan atuhumu kiongozi wa kiroho anayeishi Marekani kuwa ndio mhusika mkuu wa jaribio hili.

- Mpaka sasa watu 194 wamefariki wanajeshi waasi 104 na raia 90

- Wanajeshi waasi wamejisalimisha

- Jaribio la kupinduzi serikali ya Rais Erdogan limezimwa na serikali yake bado iko madarakani
 
Ngoja niulize kule Ankara vipi hali ya hewa. Narudi na mrejesho
 
aaturkey-large_trans++zLhBCBTUP5peMii574YzVWoRpsipTVNW6gX36t8mCFA.jpg


Da! zimepigwa risasi mbili tatu mjini Ankara

Hali ni tete, kwani hilo ni jaribio la mapinduzi.

Waziri Mkuu Binali Jildirm anasema wanajeshi hawakupewa ruhusa kuzuia madaraja lakini sio mapinduzi.

Ila vifaru vimezagaa na ndege za kivita zipo angani.
 
Panachimbika mida hii, mabomu na risasi angani. Japo serikali imetoa tamko kwamba wapo imara na watazima tu.

1142.jpg


The Associated Press is now carrying fuller quotes from the Turkish prime minister’s interview with NTV.

Having confirmed his belief that an attempted coup was underway, Binali Yildirim said: “We are focusing on the possibility of an attempt [coup]. There was an illegal act by a group within the military that was acting out of the chain of military command. Our people should know that we will not allow any activity that would harm democracy.”

The Dogan news agency said one-way traffic on the Bosporus and Fatih Sultan Mehmet bridges were blocked. Video footage showed the bridge being blocked by military vehicles.

Turkey coup attempt: gunfire in Ankara as military aircraft fly over capital – live
 
Back
Top Bottom