Turidhike na tulionao

Turidhike na tulionao

Ingawa ni changamoto...itabidi mtafute suluhisho la kudumu;hawa wa nje tatizo lao wanaleta ushindani kwa bi mkubwa
😂😂😂😂😂 Ukiruhusu ushindani hilo lazma litokee. Piga ultimatum na uwe mkweli, mkeo aisguswe na akileta usenge unamnyoosha.

Kuwa kama Pablo, nobody plays with Tata 😆😆😆
 
Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote
Jiandae kupakuliwa nikikukuta unachombeza manzi yangu maana ni zaidi hata ya mke kwangu.

Kama hujawahi fikiria inawezekanaje mtu kumeza dafu basi utalimeza mchana kweupe.

Nobody plays with my Tata.
 
Back
Top Bottom