MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Dah Kongosho na Babu DC hili somo nimejifunza with bitterness aisee. Lakini kusema ukweli NIMEJIFUNZA ingawa mpaka sasa imekuwa ni ngumu kumeza.Nimefurahi kuona na maoni yako Dada Mkuu Kongosho na samahani kwa kuchelewa kukujibu...mambo ya kujifunza kucheza na mchina si mchezo...Majirani zangu wanasema kuwa ni "mashokholo mageni"!!!
Haya mambo ni magumu sana ndio maana mtu anayeingia ndoa anakuwa kwa namna moja kama vile kacheza kamari!!
Hivi huyo mjukuu anayeitwa MwanajamiiOne yuko wapi?????
We really miss her....
Babu DC!!
Hata hivyo ninakubaliana na wote mnaounga mkono mada hii ya Babu kwa sababu nimegundua katika maisha ya ulimwengu huu ukitaka kuishi kilimwengu basi kuwa mlimwengu, usitegemee kuwa mwanadini safi huku wataka kuishi kidunia utaumbuka. Unawezakuwa waamini katika ...Love conquers all lakini unapopreachia hiyo slogani yako ni wrong place hapo unapotea.
Kwa Babu, RR na wengineo ninawapa salute kwa sababu mapenzi mnayoyaongelea hapa ni yale ambayo tunasema ni advanced, yale ambayo wayavaayo wako matured enough kutokana na experiences zao na ukomavu wao katika mapenzi. lakini kwa wale wachanga (ambao wengi wetu ndio huwa tunatumbukia tukiwa katika tender age) ambao wanapenda kweli somo hili litakuwa gumu aisee. Kwao hawa bado slogan ya Love conqures all bado inaaminika kama msingi wa penzi la kweli na ndio maana tunakutana na cases za wanaokunywa sumu, wanaojitia vitanzi n.k simply because wamekatazwa kuoa/olewa na wenzi wa dini tofauti au class tofauti.
Ngoja ninywe maji Babu DC. naja
Last edited by a moderator: