Tupunguze kulaumiana

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
Wakaka mlioko huku hivi kuna kosa gani kuamua kuachana na mtu umemkuta mashine yake ni kama kidole gumba cha mtoto...jamani wadada msiombe iwatokee hata kama ulikuwa unampenda vipi hapa lazima uchomoe...sasa niliamua kufunga ukurasa sasa jamaa alinilaumu ni sawa hii...Note hapa ilikuwa bf and gf enzi za pita pita zangu...na ule usemi wanasema old is gold kwa kweli kwa hili kwangu ilikuwa ni old is majanga....
 
Sijakuelewa
huyo mkaka ndo unatuambia sisi 'tupunguze kulaumiana'
ama?
 
Hata sijaelewa vizuri nitarudi baadae akili ikitulia nisome kwa umakini!
 
^^
Funga sanaa,,haiumizi mzigo bali hukaza tu
^^
 
Sijakuelewa
huyo mkaka ndo unatuambia sisi 'tupunguze kulaumiana'
ama?

mimi ndio namwambia huyo kaka apunguze lawama... lol typing error mkuu...yaani alikuwa ananilaum nilivyomchase out...
 
Mbona una-sound kama mtoto mdogo ambaye hajui anachotaka kuandika...
 
Tatizo sio kama kidole unafikiri hapo yawezekana saizi yako kubwa kila mtu ana size yake sasa iweje beseni lako wakati wa kukoroga kitu chochote utumie kijiko cha chai? Hapo kweli hakuna haja ya kulaumiana utakuwa wewe mashine yako ndio kubwa na kusababisha jamaa kuonekana ana kiduchu?........Usifurahie na wewe kuwa na mashine kubwa hivyo tutaendelea kukimbia na utabaki ukisingizia mara kidole mara kibamia lakini beseni lako hulioni?
 
Rubbish! Rudi shule ya msingi ujifunze jinsi ya kupangilia sentensi.
 
hahahahahahahaaaaa nimeipenda hii
 

haya ndo madhara ya kunywa @viroba mkiambiwa muache hamtaki,sasa hapa umeandika nini.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…