Tupo SamakiSamaki

Tupo SamakiSamaki

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
6adbda6122e394da70582ec8159d1d88.jpg
 
huyo ni mtuu mmoja? dah, lakini ninachofurahi huyo mzungu analipa kodi. naona mashine za EFD zinafanya kazi na hawezi kukwepa kodi labda akale dili na TRA wakati wa kulipa.
 
Binadamu hatulingani! Na tunatofautiana pakubwa katika vipaumbele!

Hengera kwa matumizi kidogo ya vinyaji!
 
Kuwepo kwenu Samaki samaki kunahusiana vipi na kuweka picha JF?
 
A Tiger doesn't lose sleep over the opinion of sheep.

I hope you had a great time!!
 
We can take you out of the bush but bush cannot take out of you!! Hiyo kawaida its not special mpaka utangaze si uliona watu walivyojaa!!😂😂
 
Le Baharia hakuwepo hapo kweli? Hilo shati la drafti drafti ni lake kabisa..
 
Back
Top Bottom