Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
- Thread starter
- #41
Unashangaa tu Shwaaa Wanga wameshapita na umeme giza km giza kumbe Wachawi wanataka kufanya yao mwanga unawaumiza machoNa isitoshe luku imeisha
😂😂😂😂Unashangaa tu Shwaaa Wanga wameshapita na umeme giza km giza kumbe Wachawi wanataka kufanya yao mwanga unawaumiza macho
Naona unataka kuuteka usingizi wangu
Ujinga huwa unaendena na vitisho🚮
BoumbOclaaT!!!
Unajuaje kama ni ujinga?Ujinga huwa unaendena na vitisho🚮
Dhuu! Hi imenitisha Kwa KweliNaingia kwenye kikao mara moja nitarejeaView attachment 3415108