Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
- Thread starter
- #21
😂😂😂 KalibuHuku kumejaa wachawi watupu
Nakemea pepo mbaya asinikoseshe usingizi usiku huu, wanga wote nawaweka kwenye boxer🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Kalibu
Huu uzi kuna watu wataota balaa we subiri uone
Hahahaha😂😂😂Nakemea pepo mbaya asinikoseshe usingizi usiku huu, wangapi wote nawaweka kwenye boxer🤣🤣🤣
😂😂😂😂Huu uzi kuna watu wataota balaa we subiri uone
Mboni km tunatishana mkuu msitumizie umeme tu hamchelewi kuzima switch
😂😂😂 Watoto haoHuu uzi kuna watu wataota balaa we subiri uone
Naona unataka kuuteka usingizi wanguHahahaha😂😂😂View attachment 3415088
Na isitoshe luku imeishaMboni km tunatishana mkuu msitumizie umeme tu hamchelewi kuzima switch