julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #21
mie jamani ningependa kukutana na JIPU! uwiiiii hili jina tu nimevutika naloo
safi sana!

Twambie ukitoka naye toka mwanzo hadi mwisho (step by step)
daaaaaaaaaaaaah!
ok my.........................am coming like warrior baby...![]()
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaahivi hawa watoto wazuri mnawapata vipi jamani
:coffee: Hamisi Vs Mwajuma :dance:
Ningependa kukutana na Lara 1, aise komments zake c mchezo zinaniacha hoi..afu anaonekana full hana shobo ni demu ngangari,.. ningependa kutalk n ae tu afu kama vip akikubali hata family friend visit itakuwa pouwa, namkaribisha mahom full kuinjoi na my family aisee ikitokea hivyo i will be more than happy....mwendo babeq + ++++duh cku nzima aliyonipa itakuwa imeisha and then i will take my dayari and note the day down 4 remembrance...Then 2mor nampeleka mastend and say goodbye Lara c u..

Mmmmhh kwani umemuoa...?wewe umuache lara 1 wangu jamani khaaa
unashangaa nini mtoto kafunguka juu yako kama hutaki nipe mie
hhhhhaaa! sasa wew ungependa utuone kwa pamoja au?